myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
📌📌Kila mtu huwa ana huzuni, ila nyuso zetu za tabasamu zinaficha hiyo huzuni.

✔️✔️Kila hatua unayo chukua watu wata kumbuka ulivyo wafanya wahisi, usiwe hadithi ya machungu bali hadithi ya matumaini, imani na upendo usioyumba
✅️✅️Kila mtu huwa ana huzuni, ila nyuso zetu za tabasamu zinaficha hiyo huzuni.
Unapopitia aina flani ya maisha ambayo hukuwahi kudhani kama utayapitia kubali kuwa jasiri kabiliana nayo utajikuta umefika sehemu ambayo hukuwahi kudhani kama unaweza kufika usiogope maisha kila unae mwona amefanikiwa alikubali kukabiliana na mambo KAZA

✅️✅️✅️Usitangaze jinsi mambo yako yanavyokuendea vizuri na wafadhili wako wanavyokusapoti
SawasawaShukrani huongeza baraka na msamaha huondoa visasi.
Unapopitia aina flani ya maisha ambayo hukuwahi kudhani kama utayapitia kubali kuwa jasiri kabiliana nayo utajikuta umefika sehemu ambayo hukuwahi kudhani kama unaweza kufika usiogope maisha kila unae mwona amefanikiwa alikubali kukabiliana na mambo KAZA
Inawezekana unapitia maumivu na machozi leo ila nikwambie tu hutolia siku zote!! mambo ni magumu hujui ufanye nini ili vitu viwe kama unavyo taka viwe Nikwambie tu huwezi kukosa majibu milele MUDA na SUBIRA vina nguvu ya kubadilisha kila kitu USICHOKE