Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Je Wajua, Kunguru wanaweza kukumbuka sura ya mtu aliyewatisha au kuwadhuru hata baada ya miaka mingi. Ukiwakosea leo, kesho au siku nyingine utashangaa wanakusanya mtaa mzima kukuangalia kwa jicho la ajabu endapo watakuona tena.