Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kuna wakat mambo hayaendi kama ulivyopanga. Milango inafungwa, ndoto zinachelewa, na matumaini yanatetereka. Lakini hiyo haimaanishi mwisho wa safari. Kila mlango unaofungwa ni nafasi ya kujifunza, kukua, na kusubiri mlango bora zaidi. Mungu hakuachi bila njia. Jipe moyo, vumilia