myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Tumia rasilimali zako kwa busara, kwani kila hatua unayochukua leo inaweza kuunda mustakabali mzuri wa kesho yako.
Tumia rasilimali zako kwa busara, kwani kila hatua unayochukua leo inaweza kuunda mustakabali mzuri wa kesho yako.
Mtu mwerevu huanza harakati mapema kabla ya wengine
“Nidhamu, uvumilivu na kujituma ndio silaha katika kusaka mafanikio.” - Warren Buffett
“Nidhamu, uvumilivu na kujituma ndio silaha katika kusaka mafanikio.” - Warren Buffett
Humu duniani hakuna mtu ambaye hana matatizo, kwa hiyo usijali sana maisha ndivyo yalivyo.
📌📌Humu duniani hakuna mtu ambaye hana matatizo, kwa hiyo usijali sana maisha ndivyo yalivyo.
AiseeKulia si udhaifu, ni njia ya kuachilia maumivu ya ndani
Kuwa makini wakati wa kuchagua nani wa kuwa nae kwenye maisha yako ili usije kujifunga kwenye majuto..
Ujumbe mzitoPumzi ni baraka tosha kwenye maisha yetu tuitumie kuwa baraka kwa wengine
Baraka kubwa sio kupokea neema kila wakati, muda mwingine ni kuepushwa na mabaya yote.
Baraka kubwa sio kupokea neema kila wakati, muda mwingine ni kuepushwa na mabaya yote.
Unapopata tatizo kwenye maisha yako, mkimbilie Mungu kwanza kabla ya watu wengine.” - Charles Stanley
UjumbePumzi ni baraka tosha kwenye maisha yetu tuitumie kuwa baraka kwa wengine
Tunatakiwa kuwa amini wanaotupenda, tukishindwa kuaminiwa na tunaowapenda.
Ikitokea umetofautiana na mtu yeyote usikanushe wema aliokufanyia, usifichue siri zake, usimvunjie heshima yake wala usisahau fadhila zake juu yako.
Ikitokea umetofautiana na mtu yeyote usikanushe wema aliokufanyia, usifichue siri zake, usimvunjie heshima yake wala usisahau fadhila zake juu yako.
Ukiwa sahihi, hakuna anayekumbuka. Lakini ukikosea, hakuna anayesahau.” - Muhammad Ali