myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✔️✔️Hasira isiyo sikiliza hoja, huandamwa na kisasi kisichokwisha
✔️✔️Hasira isiyo sikiliza hoja, huandamwa na kisasi kisichokwisha
👍👍Kuna muda inatakiwa ukose pa kuegemea ili usimame imara
Ulimi wa kulalamika hudhihirisha moyo usio na shukrani.
Ulimi wa kulalamika hudhihirisha moyo usio na shukrani.
Ulimi wa kulalamika hudhihirisha moyo usio na shukrani.
SawaAhadi si tu deni, bali ni mtego wa heshima.
📌📌Ahadi si tu deni, bali ni mtego wa heshima.
Kweli hiliHakuna Njia ya Mkato kufika juu ya mnazi.
✔️✔️✔️Hakuna Njia ya Mkato kufika juu ya mnazi.
✅️✅️Kuna muda inatakiwa ukose pa kuegemea ili usimame imara
Kila hali katika maisha ni ya muda. Hivyo maisha yanapokuwa mazuri hakikisha unayafurahia na kuyapokea kikamilifu. Na wakati maisha sio mazuri, kumbuka kuwa hayatadumu milele na siku njema ziko njiani..

✅️✅️Kila hali katika maisha ni ya muda. Hivyo maisha yanapokuwa mazuri hakikisha unayafurahia na kuyapokea kikamilifu. Na wakati maisha sio mazuri, kumbuka kuwa hayatadumu milele na siku njema ziko njiani..
Hakuna kitu kinachoenda mbele mpaka wewe mwenyewe uanze kufanya". Kwa hiyo, lazima uwe mtu wa kwanza kuchukua hatua katika kubadilisha maisha yako
Hakuna kitu kinachoenda mbele mpaka wewe mwenyewe uanze kufanya". Kwa hiyo, lazima uwe mtu wa kwanza kuchukua hatua katika kubadilisha maisha yako
Furaha ni safari sio hatima, Furahia maisha yako na uwapendao. Jumuika, Zungumza, Cheka na Sahau Uchungu. Tengeneza Furaha yako.
Hakuna kitu kinachoenda mbele mpaka wewe mwenyewe uanze kufanya". Kwa hiyo, lazima uwe mtu wa kwanza kuchukua hatua katika kubadilisha maisha yako
Mtu ambaye ni mvumilivu anaweza kufanikiwa katika jambo lolote maishani.
Kuna kitu ndani yako ambacho dunia haijakiona bado"NGUVU YA NDANI."Ni nguvu ya kuinuka bila kutegemea makofi ya wengine.Ni moto wa ndani unaosema, 'Siishii hapa
✅️✅️Kuna kitu ndani yako ambacho dunia haijakiona bado"NGUVU YA NDANI."Ni nguvu ya kuinuka bila kutegemea makofi ya wengine.Ni moto wa ndani unaosema, 'Siishii hapa