Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Siku mpya imezaliwa, nafasi mpya imetufikia. Usikubali iishe bila kutabasamu, kupigania ndoto zako, na kushukuru kwa ulichonacho. Kumbuka: Mafanikio yanaanza na hatua ndogo unazochukua leo. Amka, chakarika, na uing'arishie dunia yako!!