myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
👍👍👍Unapoinuka, inua na wenzako kiroho safi ili ukiteleza wawepo wa kukushika mkono. Maisha ni mtihani na dunia ni mzunguko leo kwangu, kesho kwako.
👍👍👍Unapoinuka, inua na wenzako kiroho safi ili ukiteleza wawepo wa kukushika mkono. Maisha ni mtihani na dunia ni mzunguko leo kwangu, kesho kwako.
✔️✔️✔️Unapoinuka, inua na wenzako kiroho safi ili ukiteleza wawepo wa kukushika mkono. Maisha ni mtihani na dunia ni mzunguko leo kwangu, kesho kwako.
📌📌📌Ukipata nafasi ya kuyahadithia matendo ya watu, jitahidi sanaaaa uyahadithie yale mema yao, Huenda kesho na wao wakapewa nafasi pia, ya kuyahadithia matendo yako”..
Ukipata nafasi ya kuyahadithia matendo ya watu, jitahidi sanaaaa uyahadithie yale mema yao, Huenda kesho na wao wakapewa nafasi pia, ya kuyahadithia matendo yako”..
Usiache kupambana maana umaskini unakawaida ya kuja na dharau nyingi sana.
Wakikuweka kama akiba we jitahidi uoze ili siku wakikuhitaji wakukute hufai Kwa matumizi yao..
Usiache kupambana maana umaskini unakawaida ya kuja na dharau nyingi sana.
👍👍👍Every day is a chance to begin again. don't focus on the failures of yesterday; start today with positive thoughts and expectations.
Jitahidi sana zama za kustawi uzitumie vizuri, mana kuna kunyauka baada ya hapo”…
Siku njema zinakuambia ya kwamba maisha ni mazuri. Lakini Siku mbaya zinakuambia kuna mengi ya kujifunza juu ya maisha. Lakini tukumbuke ya kwamba siku zote Watu wazuri hukupa kumbukumbu zenye thamani lakini watu wabaya hukupa masomo muhimu maishani”…!!!
✔️✔️✔️Siku njema zinakuambia ya kwamba maisha ni mazuri. Lakini Siku mbaya zinakuambia kuna mengi ya kujifunza juu ya maisha. Lakini tukumbuke ya kwamba siku zote Watu wazuri hukupa kumbukumbu zenye thamani lakini watu wabaya hukupa masomo muhimu maishani”…!!!
SawasawaKwenye maisha usijaribu kuweka silaha chini hata kama maadui zako wameweka silaha chini kumbuka binadamu hawaaminiki”
SawasawaLau maji yangekuwa yanazungumzayangewaambia baadhi ya watu: Osha moyo wako kwanza kabla ya mikono yako , mana siku hizi mioyo yao imejaa uchafu kuliko mikono yao
📌📌📌Kwenye maisha usijaribu kuweka silaha chini hata kama maadui zako wameweka silaha chini kumbuka binadamu hawaaminiki”
Wakati hujui la kufanya, OMBA.Wakati huwezi kusema, OMBA.Wakati kila kitu kinavurugika, OMBA.Maombi hubeba nguvu ambazo hata macho hayawezi kuona.Mungu hushughulikia kilekinachokushinda.
NENO HILOSi rahisi kupata watu sahihi katika maisha yako, lakini ni vigumu zaidi kupata waliokamilika. Lazima ukubaliane na mapungufu ya wengine ili maisha yaendelee”.
Furaha sio kuishi maisha yasiyo na matatizo bali ni uwezo wakupambana nayo bila kuipoteza furaha yako. matatizo hayaishi, utakuwa nayo hadi siku ya kufa.!
Hata maamuzi sahihi yanaweza yasiwe sahihi yakitolewa njee ya muda sahihi, Maisha ni mchezo wa muda, Hakikisha unazingatia muda kwa kila jambo”.