myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✔️✔️✔️Majukumu yamefanya Watu watuone hatujali kuhusu wao. Mambo yamebadilika. vipaumbele vyetu vimekuwa tofauti na hapo awali, tunakosa muda wa kuwa karibu na Wapendwa wetu, Kila siku tukiamka tunakimbizana na Jua kupata Riziki zetu za kila siku, Mtusamehe mana hatuna Maisha mbadala.
📌📌Majukumu yamefanya Watu watuone hatujali kuhusu wao. Mambo yamebadilika. vipaumbele vyetu vimekuwa tofauti na hapo awali, tunakosa muda wa kuwa karibu na Wapendwa wetu, Kila siku tukiamka tunakimbizana na Jua kupata Riziki zetu za kila siku, Mtusamehe mana hatuna Maisha mbadala.
✅️✅️Furaha sio kuishi maisha yasiyo na matatizo bali ni uwezo wakupambana nayo bila kuipoteza furaha yako. matatizo hayaishi, utakuwa nayo hadi siku ya kufa.!
Majukumu yamefanya Watu watuone hatujali kuhusu wao. Mambo yamebadilika. vipaumbele vyetu vimekuwa tofauti na hapo awali, tunakosa muda wa kuwa karibu na Wapendwa wetu, Kila siku tukiamka tunakimbizana na Jua kupata Riziki zetu za kila siku, Mtusamehe mana hatuna Maisha mbadala.
Ukipata nafsi ya kuwahadithia watu, jitahidi sana kuwahadithia kwa wema, Mana kuna kesho isije na wao wakapewa nafasi pia ya kukuhadithia.’
Usidanganywe na idadi yao kubwa wote hawana msaada wakati wa shida zako...”.
Usidanganywe na idadi yao kubwa wote hawana msaada wakati wa shida zako...”.
👍👍👍Wema ni jambo linalompendeza sana Mungu, Lakini wema bila mipaka huleta mazoea na mazoea ni sawa na kuacha Mlango wa Chumba chako wazi.Tuwe makini”
✔️✔️✔️Kuna Anaye Kuonesha Anakupenda, Kuna Anaye Kuambia Anakupenda! Halafu Yupo Anaye Kupenda Kwa Vitendo! Rudia Kusoma Uelewe Vizuri Usiwachanganye Hao Ni Watu WatatuTofauti !!
SawasawaWashindi sio Watu ambao hawafanyi makosa, bali ni Watu ambao hawakati tamaa hata wakifanya makosa”.
NAKUBALIsiku hizi uaminifu ni kamásadaka ya masikini inakuwepo lakini haitangazwi”…..!!!