Samaki anahitaji maji ili kuishi ila maji bila samaki yanabaki kuwa maji, mmea unahitaji ardhi ili kustawi ila ardhi haiitaji mmea Ili kuwa ardhi. Binadamu anamuhitaji Mungu Ili kustawi, ila Mungu haitaji mwadamu Ili kuwepo maana alikuwepo tu. Be humble na majibu ya Mungu"