Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hakuna mtu aliyekamilika. Watu huvumiliana mapungufu kwasababu upo upendo katikati yao(wanapendana). Ni ngumu kumvulia mtu ambaye anatamani usiwepo katika maisha yake. Moyo wako unajua njia, usikilize