Hakuna mtu aliyekamilika. Watu huvumiliana mapungufu kwasababu upo upendo katikati yao(wanapendana). Ni ngumu kumvulia mtu ambaye anatamani usiwepo katika maisha yake. Moyo wako unajua njia, usikilize

"Tafsiri yako ndio uhalisia wa kile unachoamini, haijalishi wengine watakuwa na mtazamo gani juu ya jambo lako. Petro alivyoomba asulubishwe kichwa chini miguu juu, kuna wengine walidhani anampinga Bwana wake. Kibaya chao ni kizuri kwako
Tafsiri yako ndio uhalisia wa kile unachoamini, haijalishi wengine watakuwa na mtazamo gani juu ya jambo lako. Petro alivyoomba asulubishwe kichwa chini miguu juu, kuna wengine walidhani anampinga Bwana wake. Kibaya chao ni kizuri kwako

Kila unapolala na kuamka usisahau kuwaombea wale waliokuinua. Walitamani wale walichokupa wewe, ila upendo wao uliwafanya waone unastahili wewe kuliko wao wenyewe. Tendo hili ni Kalvari halisi, ni Upelkane wa aina yake".