Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Miaka mingi tumekuwa na afya tele kiasi kwamba tunaona ni haki yetu kuwa hivyo, lakini tukiwatembelea wagonjwa tutagundua kwamba hatustahili kabisa. Tuache kiburi cha uzima na tutenge muda kumshukuru Mungu"