Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ukiweza kushinda woga na tamaa za hovyo hovyo katika kutafuta pesa, kilichobaki ni muda tu.
Kitu muhimu zaidi baada ya hapo ni maarifa sahihi.
Muda ukifika, hakuna kitakachokuzuia, lazima utatoboa.
Kitu muhimu zaidi baada ya hapo ni maarifa sahihi.
Muda ukifika, hakuna kitakachokuzuia, lazima utatoboa.