Wanavyokudhania na kukuchukulia sivyo ulivyo, ukarimu wako na unyeyekevu wako kwao ndiyo unaokuponza. Ila Usibadilike kwa sababu yao. Endelea kuwa Mtu mwema.

Ukiona watu wanakufuatilia sana usikasirike, jua Wewe ni kioo kwao unawaonyesha njia. Wengi wao wanashindwa kukuambia kwasababu ya kiburi chao, wewe endelea kuwapenda na kuwajali, usiwachukie

Kukumbuka ulikotoka ni faraja katika maisha, kuwakumbuka waliokusaidia na kukufikisha ulipo Leo ni hatua katika maisha, kujisahaulisha na kuwafitinisha na kujifanya huwatambui waliokusaidia ni ukosefu wa hekima

Silaha pekee ya mafanikio ni kuthubutu na kujiamini , kwa kila jambo unalolifanya na kuamini kwamba utafanikiwa . Kutokujiamini na kukata tamaa ndio anguko letu Vijana wengi wa kitanzania

Kuumia ni sehemu ya maisha, kakuumiza, kakupotezea muda, kakukimbizia wenye maana katika maisha yako, na pia anaendelea kukufuatilia, msamehe nenda zako watakuja wenye maana zaidi yake , maisha ni hatua , piga hatua nyingine , lakini usirudi nyuma, ipo siku atakukumbuka .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.