Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
12. Meno huanza hukua miezi 6 kabla ya kuzaliwa
Ingawa mtoto mchanga napozaliwa meno yake yanakuwa bado hayajachomoza kwa nje, lakini yanakuwa tayari yameshaanza kuota kwa ndani miezi sita kabla ya kuzaliwa.