Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Laiti Mwanadamu angejua kuwa Kifo hakihitaji process bali ni kitu cha dakika moja tu, basi angehakikisha kila dakika moja ya maisha yake hapa Duniani anaitumia kutenda Mema".
SawasawaKinachokupa FURAHA kifanye Kiwe SIRI.!'
✔️✔️Sifa Kuu Ya PESA ni KUJISAHAU, Hivyo Hakikisha HAIKUTOI Kwenye LENGO.
👍👍Ipende JUZI na JANA ili Kesho Yako IWE PANA..
SahihiIpende JUZI na JANA ili Kesho Yako IWE PANA..
KweliMtu MWEMA Ni Kama MAPIGO YA MOYO...THAMANI Yake Huonekana Pale ANAPOKOSEKANA.
MuhimuIpende JUZI na JANA ili Kesho Yako IWE PANA..
Mtu MWEMA Ni Kama MAPIGO YA MOYO...THAMANI Yake Huonekana Pale ANAPOKOSEKANA.
SawasawaMtu MWEMA Ni Kama MAPIGO YA MOYO...THAMANI Yake Huonekana Pale ANAPOKOSEKANA.
SawasawaTunaishi MAISHA YETU Mbele Ya MACHO YAO... Na Bado TUNAJIAMINI.!
📌📌Muda Mwingine FURAHA Huja Wakati USIOUTARAJI.
TABASAMU Hafifu Ni Mtaji Wa FURAHA Ya BAADAE.!"
TABASAMU Hafifu Ni Mtaji Wa FURAHA Ya BAADAE.!"
TABASAMU Hafifu Ni Mtaji Wa FURAHA Ya BAADAE.!"