Weka hii akilini :
Siri kuu ya mafanikio yako Ina amuliwa na direction uliyochagua kuifata , iwe ni njia uliyoaminishwa na wazazi wako au marafiki zako au Mungu wako au akili yako mwenyewe : Kama haupo sehemu au kwenye njia sahihi basi sahau kuhusu kutoboa