Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hata kwenye meza ya bure kula unacho weza kununua,lolote linaweza kutokea utadhalilika.
NaamCha Bure ni pumzi tu kila kitu unatakiwa kuweka jitihada.ulimwengu hautakupa chochote bila jitihada