myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Inawezekana kabisa hili8. Mtoto mchanga hutambua rangi nyeusi na nyeupe pekee
Inaelezwa kuwa mtoto mchanga hatambui rangi nyingine zaidi ya nyeusi na nyeupe pekee. Hii ni kusema kuwa ulimwengu wote kwa mtoto ni mweusi na mweupe pekee.
6. Unaweza kujaza bwawa la kuogelea kwa mate yako
Bwawa la kuogelea? Ndiyo, kwa kipindi cha maisha yako yote unazalisha kiasi cha mate kinachoweza kujaza bwawa la kuogelea kama kingekuwa kinakusanywa.
6. Unaweza kujaza bwawa la kuogelea kwa mate yako
Bwawa la kuogelea? Ndiyo, kwa kipindi cha maisha yako yote unazalisha kiasi cha mate kinachoweza kujaza bwawa la kuogelea kama kingekuwa kinakusanywa.
Aisee12. Meno huanza hukua miezi 6 kabla ya kuzaliwa
Ingawa mtoto mchanga napozaliwa meno yake yanakuwa bado hayajachomoza kwa nje, lakini yanakuwa tayari yameshaanza kuota kwa ndani miezi sita kabla ya kuzaliwa.
SAWASAWA ✔️17. Binadamu ana misuli zaidi ya 600
Mwili wa binadamu una misuli kati ya 600 hadi 800. Pia inahitajika misuli 200 ili kuweza kupiga hatua moja.
Sawasawa ✔️15. Pua ya binadamu inaweza kubaini harufu trilioni moja
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Leslie Vosshall kwenye chuo cha Rockefeller, ulibaini kuwa pua ya binadamu inaweza kubaini harufu tofauti takriban trilioni moja. Kiwango hiki ni tofauti na kilichokuwa kinafahamika mwanzo cha harufu 10,000.
Sawasawa17. Binadamu ana misuli zaidi ya 600
Mwili wa binadamu una misuli kati ya 600 hadi 800. Pia inahitajika misuli 200 ili kuweza kupiga hatua moja.
14. Binadamu wengi hawawezi kuchezesha masikio yao
Inasemekana ni watu wachache pekee ndiyo wanaoweza kuchezesha masikio yao duniani. Je wewe unaweza? Ikiwa unaweza basi uko kati ya hao wachache.
Sawasawa13. Figo yako ina vichujio milioni moja
Kila figo yako moja ina vichujio takriban milioni moja vinavyochuja lita 1.3 za damu kila dakika na kupelekea kuzalisha lita 1.5 za mkojo kwa siku.
Muhimu sana13. Figo yako ina vichujio milioni moja
Kila figo yako moja ina vichujio takriban milioni moja vinavyochuja lita 1.3 za damu kila dakika na kupelekea kuzalisha lita 1.5 za mkojo kwa siku.
Nakubaliana na wewe18. Unaweza kuishi siku 30 bila chakula
Inaelezwa kuwa binadamu anaweza kuishi siku 30 bila chakula; siku 3 bila maji; dakika tatu bila oksijeni. Je ulilifahamu hili kuwa unaweza kunywa maji tu bila kula na ukaishi siku thelathini
Duh!!!! Maktaba kubwa sana23. Ubongo unaweza kutunza kiasi kikubwa cha kumbukumbu.
Kwa kipindi cha maisha ya binadamu yote, ubongo wake unaweza kutunza biti za data zipatazo milioni bilioni moja. Milioni bilioni moja? Ndiyo, milioni bilioni moja na zaidi.
Aisee22. Mwili wako una kaboni nyingi sana
Inaelezwa kuwa mwili wako una kaboni nyingi kiasi cha kutosha kuzalisha penseli 900 ikiwa kaboni hiyo itakusanywa.
Sawasawa20. Mawimbi kwenye mfumo wa fahamu husafiri kwa kasi ya mita 120 kwa saa (kilometa 200 kwa saa)
Inaelezwa kuwa unapomgusa mtu au kitu kinapomgusa mtu, tarifa za tendo hilo husafiri kwa kasi kubwa ya mita 120 kwa saa (kilometa 200 kwa saa) kuelekea kwenye ubongo.
Inawezekana19. Unaweza kukaa bila kulala kwa siku 11
Rekodi ya dunia ya mtu aliayeweza kukaa muda mrefu zaidi bila kulala iliwekwa na Randy Gardner ambaye alikaa siku 11 pekee. Inaelezwa kuwa ukikaa zaidi ya hapa utaanza kupata matatizo ya kiakili na kisaikolojia.
Nakubaliana23. Ubongo unaweza kutunza kiasi kikubwa cha kumbukumbu.
Kwa kipindi cha maisha ya binadamu yote, ubongo wake unaweza kutunza biti za data zipatazo milioni bilioni moja. Milioni bilioni moja? Ndiyo, milioni bilioni moja na zaidi.
Sawasawa kabisa24. Moyo unaweza kuendelea kudunda hata ukiwa nje ya mwili
Nini? Ndiyo, moyo unaweza kuendelea kudunda hata ukiwa nje ya mwili ikiwa tu utapata oksijeni. Moyo umeumbwa kwa namna ambayo unazalisha mawimbi yake ya umeme wenyewe yanayowezesha misuli yake kusukuma damu. Hii ndiyo sababu wataalamu wa tiba wanaweza kuutoa moyo na kuurudisha tena bila shida.
SawasawaHitimisho
Naamini umejifunza mengi na kufurahia makala hii. Ni wazi kuwa kuna mambo mengi yakushangaza kuhusu miili yetu ambayo singeweza kuyaeleza yote hapa. Lakini naamini kwa mwanzo huu utapata hamasa ya kufanya utafiti zaidi juu ya mengine mengi.
SAWASAWAHitimisho