myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mzaha hautakiwiUsifanye mzaha na vyanzo vyako vya mapato na usiruhusu mtu avifanyie mchezo, Upendo unaweza kuja na kuondoka, Ila njaa ipo kila siku Ongeza bidii yako kila siku maana hautakuja kuacha kulipa Bill kwenye Hii Dunia Hadi siku unaondoka Hapa.
πππUkitamani usichohitaji utapata usichotaka. Ukithamini ulichonacho utaongezewa unachohitaji. Ni rahisi kupata unachohitaji kuliko unachotaka
SawasawaKumbuka kuwa mnyenyekevu uwapo kwenye furaha kwa kuwa furaha yako yaweza kuwa ni maumivu kwa wengine kama ambavyo hufurahii maumivu yako kuwa ni furaha kwa wengine.
πππKumbuka kuwa mnyenyekevu uwapo kwenye furaha kwa kuwa furaha yako yaweza kuwa ni maumivu kwa wengine kama ambavyo hufurahii maumivu yako kuwa ni furaha kwa wengine.
SawasawaDaima tumaini kuwa maisha yako ya kesho ni bora kuliko ya jana. Matumaini hutusukuma kwenda mbele, mashaka huturudisha nyuma. Chaguo ni lako!"
UJUMBE HUU MUHIMU SANAUsimpotee Mungu wako wakati wa neema maana naye atakupotea siku ukiwa unamtafuta wakati wa dhiki." ~Togolani Mavura.
Ujumbe huu muhimu piaKila mtu ana aibu zake na udhaifu wake ambazo hupenda kuzisitiri. Hivyo, muonekano na tabia za watu tuzionazo upenuni ni sitiri ya undani wao." ~Togolani Mavura.
Maisha ili yaendelee, lazima watu wa aina zote wawepo watu Wema na waovu, werevu na wapumbavu, matajiri na maskini. Wote wanakamilisha picha kubwa ya maisha. Kikubwa Tuvumiliane, maana kila mtu ana nafasi yake kwenye huu ulimwengu
UKO SAWASAWAUsimpotee Mungu wako wakati wa neema maana naye atakupotea siku ukiwa unamtafuta wakati wa dhiki." ~Togolani Mavura.
Kuishi ni sanaa,wengine ni karama yao,wengine huipata kwenye malezi, na wengine hufunzwa na ulimwengu, haijalishi umeipataje muhimu uwe nayo." ~Togolani Mavura.
πππKuishi ni sanaa,wengine ni karama yao,wengine huipata kwenye malezi, na wengine hufunzwa na ulimwengu, haijalishi umeipataje muhimu uwe nayo." ~Togolani Mavura.
SawasawaBirika halimimini kisichokuwepo ndani yake. Usitegemee upendo, huruma na uelewa kutoka kwa mwenzako ikiwa nawe huwekezi kuujazia moyoni mwake." ~Togolani Mavura.
Sawasawa βοΈBirika halimimini kisichokuwepo ndani yake. Usitegemee upendo, huruma na uelewa kutoka kwa mwenzako ikiwa nawe huwekezi kuujazia moyoni mwake." ~Togolani Mavura.
SawasawaUnapoishi punguza kuweka iman na matumaini kwa watu ..
Wewe pambana kadri ya uwezo wako kufikia matarajio yako.
Wakati wa mafanikio Kufanikiwa kila mtu anataka kuwa karibu yako na unathaminiwa kwa jina lako pesa zako pamoja na nafasi yako ya kimafanikio ila ukidondoka kidogo watu wanakukimbia
β οΈβ οΈWakati wa mafanikio Kufanikiwa kila mtu anataka kuwa karibu yako na unathaminiwa kwa jina lako pesa zako pamoja na nafasi yako ya kimafanikio ila ukidondoka kidogo watu wanakukimbia
SawasawaWakati wa mafanikio Kufanikiwa kila mtu anataka kuwa karibu yako na unathaminiwa kwa jina lako pesa zako pamoja na nafasi yako ya kimafanikio ila ukidondoka kidogo watu wanakukimbia
SawasawaUpepo ukiupatia, unaweza kukupepea; na ukiukosea, unaweza kukupeperusha. Tatizo si upepo, tatizo ni maarifa yako." ~Togolani Mavura.
NI UPEPOUpepo ukiupatia, unaweza kukupepea; na ukiukosea, unaweza kukupeperusha. Tatizo si upepo, tatizo ni maarifa yako." ~Togolani Mavura.