myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
👍👍👍Ukianza kuona kila kitu kinaenda vibaya kwenye maisha yako, usianze na maombi. Punguza kwanza baadhi ya watu na vitu.
👍👍👍Ukianza kuona kila kitu kinaenda vibaya kwenye maisha yako, usianze na maombi. Punguza kwanza baadhi ya watu na vitu.
DuniaDunia haitakupenda kwa kuwa mkweli. Mara nyingi, ukweli huumiza, na wengi hupenda uongo mzuri kuliko ukweli mchungu. Lakini kuwa mkweli bado ni ushindi wa ndani.
SahihiNirahisi sana Watu kuweka hadithi yao kwenye Maisha yako kuliko kuweka hadithi yako kwenye Maisha yao
📌📌📌Usijitoe kupita kiasi kwa watu wasioona thamani yako. Maji hayamiminwi kwenye kikombe kilichopasuka. Toa kwa busara, jitoe kwa wanaojali.
✔️✔️✔️Kuna Muda Jifanye Mshamba Watu Wanapenda Watu washamba Ukijifanya Mjuaji sana Watu watakukimbia
SawasawaKuna Muda Jifanye Mshamba Watu Wanapenda Watu washamba Ukijifanya Mjuaji sana Watu watakukimbia
✅️✅️✅️Kila Changamoto Unayopitia Ni Darasa La Maisha. Usilalamike kwa Majaribu, Maana Humo Ndimo Kuna Hekima, Nguvu, Na ukuaji Wa kweli wa Nafsi Yako
👍👍Hakuna kitu kinachotokea Bahati Mbaya Au ghafla. Kila jambo lina maandalizi yake Ambayo Mengine yako Dhahiri au ya siri. Hapewi Mtu sahani ya chakula bure.
📌📌📌Unaweza kuwa Unawasaidia Mambo Mengi Sana Lakini siku ukianguka Wanafurahi sana na bado watasema ulikua Unaturingishia Vitu vyako.
SawasawaHakuna kitu kinachotokea Bahati Mbaya Au ghafla. Kila jambo lina maandalizi yake Ambayo Mengine yako Dhahiri au ya siri. Hapewi Mtu sahani ya chakula bure.
AiseeKubali Matokeo Kwamba Wewe Sio Wa Muhimu Sana Katika Maisha Ya Baadhi Ya Watu,Kisha Endelea Na Maisha Yako!
✔️✔️Tunaondoka Hapa Duniani Bila kuaga, Ukipata Nafasi Ya kuiona Siku Mpya Mshukuru MUNGU, Na Utende Yaliyo Mema.
👍👍Cha bure Ni Pumzi Tu kila kitu Unapaswa Kuweka Jitihada. Ulimwengu Hautakupa Chochote Bila Jitihada.
✅️✅️Tunaondoka Hapa Duniani Bila kuaga, Ukipata Nafasi Ya kuiona Siku Mpya Mshukuru MUNGU, Na Utende Yaliyo Mema.
📌📌📌Tunaondoka Hapa Duniani Bila kuaga, Ukipata Nafasi Ya kuiona Siku Mpya Mshukuru MUNGU, Na Utende Yaliyo Mema.
✔️✔️Kama Ambavyo Wewe Unayaona Madhaifu Ya Wengine, Ndivyo Na Wengine Wanayaona Madhaifu Yako
SawasawaUfundishe Moyo wako kuridhika Na Baadhi Ya Matokeo katika Maisha, Kuna kipindi kupata na kupoteza Ndio salama Yako.
SawasawaUfundishe Moyo wako kuridhika Na Baadhi Ya Matokeo katika Maisha, Kuna kipindi kupata na kupoteza Ndio salama Yako.
NakubalianaUfundishe Moyo wako kuridhika Na Baadhi Ya Matokeo katika Maisha, Kuna kipindi kupata na kupoteza Ndio salama Yako.