myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Zingatia Maisha Yako, zingatia Watu wanao kupenda, zingatia Harakati zako za kupata Pesa, Na Ujali Muda wako.
Zingatia Maisha Yako, zingatia Watu wanao kupenda, zingatia Harakati zako za kupata Pesa, Na Ujali Muda wako.
Zingatia Maisha Yako, zingatia Watu wanao kupenda, zingatia Harakati zako za kupata Pesa, Na Ujali Muda wako.
✔️✔️Kwa kuwa Bado Tunaishi, Jifunze sana kutokufanya Mzaha Na Hali Za Watu Wengine. Heshimu Hali za watu, Maisha Ni Fumbo.
✅️✅️✅️Huhifadhi fedha za dharula kwa ajili ya majanga yoyote yanayoweza kutokea. Na ukipatwa na janga lolote, hukurudisha nyuma na kuanza upya. Pia huna tabia ya kulipa madeni/ bili zako mapema na kusubiri ziwe nyingi na "kukomba" kipato chako chote.
📌📌📌Huhifadhi fedha za dharula kwa ajili ya majanga yoyote yanayoweza kutokea. Na ukipatwa na janga lolote, hukurudisha nyuma na kuanza upya. Pia huna tabia ya kulipa madeni/ bili zako mapema na kusubiri ziwe nyingi na "kukomba" kipato chako chote.
👍👍👍Huhifadhi fedha za dharula kwa ajili ya majanga yoyote yanayoweza kutokea. Na ukipatwa na janga lolote, hukurudisha nyuma na kuanza upya. Pia huna tabia ya kulipa madeni/ bili zako mapema na kusubiri ziwe nyingi na "kukomba" kipato chako chote.
Maisha Ni Zawadi Inayohutaji Watu Majasiri Na Sio Walegevu wa Imani, Dunia Haiitaji Vijana dhaifu.Jifunze Ujasiri.
Maisha Ni Zawadi Inayohutaji Watu Majasiri Na Sio Walegevu wa Imani, Dunia Haiitaji Vijana dhaifu.Jifunze Ujasiri.
📌📌Ukiwa Bora Utasemwa, Ukiwa Dhaifu Utasemwa.Amua Wewe Usemwe Kwa Ubora Wako Au Kwa Udhaifu wako
👍👍👍Unaishi kwa kuangalia watu wengine wanakuchukuliaje… Si mashindano! Eti tu kwa kuwa rafiki yako mpendwa kanunua Simu ya kisasa sana basi kwanini na wewe usiuze ya kwako ununue kama yake bila kujali uwezo wako ni kiasi gani. Au mimi ni mashuhuli sana sitakiwi kuonekana kwenye daladala/bodaboda ntakodi tax.
SawaHuna Mipango , Huandiki Chochote na kufikiria kuhusu Leo tu
✅️✅️✅️Umekuwa mtu wa reja reja hufanyi manunuzi ya pamoja na kujikuta unatumia kiasi kikubwa zaidi cha fedha
✔️✔️✔️Umekuwa mtu wa reja reja hufanyi manunuzi ya pamoja na kujikuta unatumia kiasi kikubwa zaidi cha fedha
📌📌📌Huna Subira, Unahitaji hela nyingi kwa haraka na kudharau hela ndogo. Unaamini kuna njia za mkato kwa ajili ya kupata hela ya haraka na utajiri. HAKUNA NJIA YA MKATO .
👍👍👍Umekuwa mtu wa reja reja hufanyi manunuzi ya pamoja na kujikuta unatumia kiasi kikubwa zaidi cha fedha
✅️✅️✅️Huamki mapema na umekuwa mtu wa kuchelewa kila siku na hata ukiamka huifurahii siku yako!
✔️✔️✔️Huna Subira, Unahitaji hela nyingi kwa haraka na kudharau hela ndogo. Unaamini kuna njia za mkato kwa ajili ya kupata hela ya haraka na utajiri. HAKUNA NJIA YA MKATO .
SawasawaHuna Subira, Unahitaji hela nyingi kwa haraka na kudharau hela ndogo. Unaamini kuna njia za mkato kwa ajili ya kupata hela ya haraka na utajiri. HAKUNA NJIA YA MKATO .