Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kuna safari zingine hazitaki msafara,inabidi utembee mwenywe..Hakuna ndugu,hakuna wazazi,hakuna washikaji,hakuna partners,hakuna kupost...Yaani Kimya kimya wewe na Mungu wako..Washikaji,jamii na wengineo wapo tu,utawakuta kama ulivyowaacha.