Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jambo la sita
Akitaka kutaga mayai, tai jike na tai dume hushirikiana kutafuta sehemu salama iliyo juu sana kwenye mti ambayo sehemu hiyo haina maadui.
 
Kisha, tai dume anaenda chini ardhini kuchukua miti yenye miiba anakuja anaitandaza kwenye sehemu wanayotengeneza kiota. Tai dume tena, hurudi ardhini kuchukua matawi ya miti kwa jili ya kutengeneza kiota.
 
Hurudia na kurudia mpaka kiota kinakuwa kikubwa. Kisha baada ya kuweka miiba na vimatawi vidogo vidogo vya miti, tai huyu anaenda tena chini kuchukua majani laini, akimaliza kuweka majani laini anarudi tena kuchukua miiba anakuja anaiweka juu ya kiota ili kuzuia maadui, na mwisho akimaliza hayo yote ana nyonyoa baadhi ya manyoya yake ili kuweka sehemu ya mayai yatakapokuwa iwe laini.
 
Tai jike akisha taga mayai; wanasaidiana na tai dume kuyaatamia kwa zamu, pia kazi ya ulinzi huifanya wote kwa kushirikiana. Vifaranga wakishatotolewa; tai dume na tai jike hushirikiana kuwalea
 
Baada ya muda kidogo tai jike ataanza kuwatoa vifaranga na kuwaweka kwenye miiba pembeni kidogo ya kiota, halafu vifaranga hurudi ndani ya kiota, atafanya hilo zoezi mara kadhaa baadae atayaondoa manyoya kwenye kiota.
 
Wale watoto wakirudi kwenye kiota watakutana na miiba itawachomachoma na kuvuja damu. Kisha tai jike atawarusha chini wale vifanga; kabla hawajadondoka tai dume atawadaka ataendelea na zoezi hilo mpaka watoto wafahamu kuruka.
 
Wale watoto wakirudi kwenye kiota watakutana na miiba itawachomachoma na kuvuja damu. Kisha tai jike atawarusha chini wale vifaranga; kabla hawajadondoka tai dume atawadaka ataendelea na zoezi hilo mpaka watoto wafahamu kuruka.
 
Wale watoto wakirudi kwenye kiota watakutana na miiba itawachomachoma na kuvuja damu. Kisha tai jike atawarusha chini wale vifanga; kabla hawajadondoka tai dume atawadaka ataendelea na zoezi hilo mpaka watoto wafahamu kuruka.
 
Tunajifunza nini? Pale tai wanapoandaa kiota wanatufundisha kujiandaa kwa ajili ya mabadiliko. Lakini ushiriki wa mke na mume ni muhimu sana ili kujenga familia yenye mafanikio.
 
Tai jike anapoyaondoa manyoa kwenye kiota, anataka tujifunze kwamba kuishi kwa maisha yale yale bila kuchomwa na miiba hutapata uzoefu na maarifa ya kukupeleka kwenye mafanikio.
 
Back
Top Bottom