Maisha ni mchakato wenye sura mbili, furaha na huzuni. Chochote kikufikacho na mchakato kichukulie kuwa Barka kwako. Kuwa imara na wkt mwingine jiweke ktk hali ya kuwa uko sawa. Kumbuka, kuta imara hutikisika, ila hazivunjiki na kuanguka. Wewe in IMARA, SIMAMA.