Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Vijana, hakuna mafanikio ya kweli bila maumivu ya kujizuia, kujifunza, na kufanya maamuzi magumu. Kila siku unayoamka na kuamua kuendelea kupambana, hata ukiwa huna uhakika, ni siku moja ya karibu na ushindi wako.