Hata siku moja isitokee ukamdharau mtu kwa kuwa tuu kwa wakati huo unaomtazamia hajafanikiwa, unaweza kuwa ni wakati wako wa mavuno naye ni wakati wake wa kutafuta mbegu kuweka shambani wote mpo kwenye mchakato ule ule wa kutafuta mafanikio ila wakati ndio mmetofautiana