myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✅️✅️Globophobia – Hofu ya kuogopa mapulizo au maputo. Mapulizo ni mapambo mazuri lakini kwa wengine huwatisha.
✅️✅️Globophobia – Hofu ya kuogopa mapulizo au maputo. Mapulizo ni mapambo mazuri lakini kwa wengine huwatisha.
✔️✔️Lepidopterophobia – Hofu ya vipepeo na wadudu wengine warukao.
Lepidopterophobia – Hofu ya vipepeo na wadudu wengine warukao.
Lepidopterophobia – Hofu ya vipepeo na wadudu wengine warukao.
Globophobia – Hofu ya kuogopa mapulizo au maputo. Mapulizo ni mapambo mazuri lakini kwa wengine huwatisha.
SawaAphenphosmphobia – Hofu ya kuogopa ukaribu au uhusiano wa kimapenzi.
✔️✔️Chronophobia – Hofu ya kuogopa juu ya baadaye; watu wengi huhofia nini kitatokea kwenye baadaye zao hivyo wanakuwa na hofu.
📌📌Didaskaleinophobia – Hofu ya kuogopa kwenda shule.
Hii ninayoDidaskaleinophobia – Hofu ya kuogopa kwenda shule.
Hii HatariiiKatsaridaphobia – Hofu ya kuogopa mende. Hii huwafanya baadhi ya watu kufanya usafi wa kupindukia ili kuondoa mende.
Wengi hiiThanatophobia – Hofu ya kifo
Wachache hiiTechnophobia – Hofu ya kuogopa teknolojia.
Watoto hiyooPediophobia – Hofu ya kuogopa midoli.
✅️✅️Philophobia – Kuogopa kupenda au hisia za kupenda.
👍👍Galeophobia – Hofu ya kuogopa samaki aina ya papa.
✔️✔️Catoptrophobia – Hofu ya kuogopa kioo au mwonekano wako kwenye kioo
📌📌Scelerophobia – Hofu ya kuhofia wahalifu au uhalifu.
✅️✅️Catoptrophobia – Hofu ya kuogopa kioo au mwonekano wako kwenye kioo