myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✔️✔️✔️Philophobia – Kuogopa kupenda au hisia za kupenda.
👍👍Basiphobia – Hofu ya kuogopa kuanguka. Wengine hata wakiwa wanatembea hupata hofu hii.
📌📌Basiphobia – Hofu ya kuogopa kuanguka. Wengine hata wakiwa wanatembea hupata hofu hii.
✅️✅️Atychiphobia – Hofu ya kuogopa kushindwa. Hii ni kizuizi kikubwa sana cha mafanikio ya watu wengi.
SawaRanidaphobia – Hofu ya kuogopa vyura.
✔️✔️Atychiphobia – Hofu ya kuogopa kushindwa. Hii ni kizuizi kikubwa sana cha mafanikio ya watu wengi.
👍👍Basiphobia – Hofu ya kuogopa kuanguka. Wengine hata wakiwa wanatembea hupata hofu hii.
📌📌Glossophobia – Hofu ya kuogopa kuongea mbele za watu.
✅️✅️Ailurophobia au Gatophobia – Hofu ya kuogopa paka. Inaelezwa kuwa Benito Mussolini na Adolf Hitler walikuwa na hofu hii.
✔️✔️✔️Ailurophobia au Gatophobia – Hofu ya kuogopa paka. Inaelezwa kuwa Benito Mussolini na Adolf Hitler walikuwa na hofu hii.
👍👍👍Ailurophobia au Gatophobia – Hofu ya kuogopa paka. Inaelezwa kuwa Benito Mussolini na Adolf Hitler walikuwa na hofu hii.
AiseeNyctophobia – Hofu ya giza. Mara nyingi hofu hii hutokea kwa watoto.
📌📌📌Nyctophobia – Hofu ya giza. Mara nyingi hofu hii hutokea kwa watoto.
✅️✅️Nyctophobia – Hofu ya giza. Mara nyingi hofu hii hutokea kwa watoto.
Ujumbe muhimu