myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kamwe usivuruge amani yako kwa kukabiliana na kila mtu anayesengenya juu yako. Waache wazungumze, maana hakuna hata mmoja wao anayeongeza thamani kwenye maisha yako.‘
SAHIHIMambo 5 Yanayomjenga Mtu:
1. Nidhamu.
2. Maombi.
3. Kusoma.
4. Uvumilivu.
5. Mazingira sahihi.
Mambo 5 Yanayomjenga Mtu:
1. Nidhamu.
2. Maombi.
3. Kusoma.
4. Uvumilivu.
5. Mazingira sahihi.
Mambo 5 Yanayomjenga Mtu:
1. Nidhamu.
2. Maombi.
3. Kusoma.
4. Uvumilivu.
5. Mazingira sahihi.
Kamwe usivuruge amani yako kwa kukabiliana na kila mtu anayesengenya juu yako. Waache wazungumze, maana hakuna hata mmoja wao anayeongeza thamani kwenye maisha yako.‘
✔️✔️✔️Mambo 5 Kuhusu Kuweka Mipaka:
1. Mipaka inalinda amani.
2. Mipaka huonesha thamani yako.
3. Mipaka sio chuki ni upendo binafsi.
4. Mipaka huondoa watu wa hovyo.
5. Mipaka ni silaha ya watu wenye akili.
Mambo 5 Kuhusu Kuweka Mipaka:
1. Mipaka inalinda amani.
2. Mipaka huonesha thamani yako.
3. Mipaka sio chuki ni upendo binafsi.
4. Mipaka huondoa watu wa hovyo.
5. Mipaka ni silaha ya watu wenye akili.
SawasawaMambo 5 Usimwambie Mtu :
1. Malengo yako.
2. Udhaifu wako.
3. Kipato chako.
4. Mpenzi wako.
5. Wapi unaelekea.
SawasawaMambo 5 Usimwambie Mtu :
1. Malengo yako.
2. Udhaifu wako.
3. Kipato chako.
4. Mpenzi wako.
5. Wapi unaelekea.
Ukiwa na pesa, unaweza kushinda siku nzima bila kula na bado ukawa sawa. Lakini ukiwa huna kitu, kizunguzungu huanza saa mbili asubuhi.'
Usiamini kila hadithi ya mafanikio unayoipata mtandaoni. Sio kila king’aacho ni dhahabu.'
Usiamini kila hadithi ya mafanikio unayoipata mtandaoni. Sio kila king’aacho ni dhahabu.'
📌📌📌'Hakuna kitu kinachoua mtu haraka kama uzito wa mawazo yake mwenyewe. Tafadhali, tulia na usijipe msongo wa mawazo juu ya mambo ambayo yako juu ya uwezo wako.'
'Hakuna kitu kinachoua mtu haraka kama uzito wa mawazo yake mwenyewe. Tafadhali, tulia na usijipe msongo wa mawazo juu ya mambo ambayo yako juu ya uwezo wako.'
Sawasawa ✔️Wakati mwingine sio maombi yako yanayokupa baraka bali ni maombi ya wale uliowatendea wema.
Wakati mwingine sio maombi yako yanayokupa baraka bali ni maombi ya wale uliowatendea wema.
✅️✅️✅️Wakati mwingine sio maombi yako yanayokupa baraka bali ni maombi ya wale uliowatendea wema.