myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
๐๐๐Ukiwa na pesa, unaweza kushinda siku nzima bila kula na bado ukawa sawa. Lakini ukiwa huna kitu, kizunguzungu huanza saa mbili asubuhi.'
โ๏ธโ๏ธโ๏ธUkiwa na pesa, unaweza kushinda siku nzima bila kula na bado ukawa sawa. Lakini ukiwa huna kitu, kizunguzungu huanza saa mbili asubuhi.'
SawasawaPale maisha yanapokuwa mazuri, hakikisha unayafurahia na kuyapokea kikamilifu. Na pale maisha yanapobadilika na kuharibika, kumbuka kuwa hayatadumu milele. Hivyo, hata wewe amini siku zako njema ziko njiani.
UjumbeNg'ombe anapokaribia kuuzwa, mfugaji humlisha vinono ili kumnenepesha, ila huwa si kwa upendo bali ni kwa faida.
Fadhila ya ghafla sio kujali ni hesabu.
SawasawaUnapobadili mawazo yako na kuanza kuamini kuwa unastahili kilicho bora zaidi na ukaanza kufanyia kazi, kuna kitu hubadilika.
Utaanza kuvutia kile ambacho awali ulifikiria hakiwezekani.
Fursa. Watu. Nishati. Maendeleo.
Kwa maana Imani + Matendo = Fursa Yenye Nguvu.
Unapobadili mawazo yako na kuanza kuamini kuwa unastahili kilicho bora zaidi na ukaanza kufanyia kazi, kuna kitu hubadilika.

SawasawaWatu wengine wanakutazama na kudhani kwamba wewe ni tajiri.
Maono hayo yawe kweli ya maisha yako na utajiri wa kweli ukupate hivi karibuni.
Amina!
Pale maisha yanapokuwa mazuri, hakikisha unayafurahia na kuyapokea kikamilifu. Na pale maisha yanapobadilika na kuharibika, kumbuka kuwa hayatadumu milele. Hivyo, hata wewe amini siku zako njema ziko njiani.
Nakubaliana na ujumbePale maisha yanapokuwa mazuri, hakikisha unayafurahia na kuyapokea kikamilifu. Na pale maisha yanapobadilika na kuharibika, kumbuka kuwa hayatadumu milele. Hivyo, hata wewe amini siku zako njema ziko njiani.
Ng'ombe anapokaribia kuuzwa, mfugaji humlisha vinono ili kumnenepesha, ila huwa si kwa upendo bali ni kwa faida.
Fadhila ya ghafla sio kujali ni hesabu.
Kuna wakati kitu pekee unachoweza kufanya ni kungoja na kuomba. Japo inaweza isiwe rahisi, lakini nakuhakikishi hilo ni jambo muhimu zaidi.
Amini, Mungu atakusimamia daima!
Kuna wakati kitu pekee unachoweza kufanya ni kungoja na kuomba. Japo inaweza isiwe rahisi, lakini nakuhakikishi hilo ni jambo muhimu zaidi.
Amini, Mungu atakusimamia daima!
Wewe ni mshindiโฆ Hebu inuka na ujaribu tena. Hukupita kizani ili uishie njiani.
Usikate tamaa, mafanikio yako yanakuja
Wewe ni mshindiโฆ Hebu inuka na ujaribu tena. Hukupita kizani ili uishie njiani.
Usikate tamaa, mafanikio yako yanakuja
๐ ๐ฎ๐บ๐ฏ๐ผ ๐ ๐ฎ๐๐ฎ๐๐ ๐ก๐ถ๐ป๐ฎ๐๐ผ๐๐ฎ๐ท๐๐ฎ:
1. Maombi hufanya kazi.
2. Mambo yanaweza badilika.
3. Mungu ni mwema siku zote.
Maisha hayakukusudiwa kuwa rahisi kamwe; yalikusudiwa kuyaishi ikiwa ni pamoja na kupitia majaribu yake yote, masomo, na ushindi. Kubwa na la msingi, usikate tamaa!"
โ ๏ธโ ๏ธโ ๏ธMaisha hayakukusudiwa kuwa rahisi kamwe; yalikusudiwa kuyaishi ikiwa ni pamoja na kupitia majaribu yake yote, masomo, na ushindi. Kubwa na la msingi, usikate tamaa!"
Kuna wakati kitu pekee unachoweza kufanya ni kungoja na kuomba. Japo inaweza isiwe rahisi, lakini nakuhakikishi hilo ni jambo muhimu zaidi.
Amini, Mungu atakusimamia daima!
Jinsi ya kujiheshimu mwenyewe
1. Wajibika kwa maamuzi yako mwenyewe
2. Timiza ahadi zako
3. Omba msamaha kwa dhati unapokosea.
4. Fanya kazi kwa bidii hata kama hakuna anayekuona.
5. Jizungushe na marafiki wanaopenda kukuona unakua
6. Kuwa mwema, lakini usikubali watu wakutumie