Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

✔️✔️✔️
Utapofanikiwa maishani, kamwe usiache kuwasha kibatali kwenye familia yako. Ili pale itakapotokea kibatali chako kikazima, uweze kurudisha neema kwa kukiwasha tena kibatali chako. Kuna hatari ya kubaki giza ikiwa wewe pekee ndiye mwenye kibatali katika familia yako.
 
Ukweli unaoumiza: Ukifanikiwa, watu watasema ulipitia njia haramu. Ukishindwa, watasema ulikuwa mvivu. Jifunze kuishi bila kuomba ruhusa ya watu.
 
Tabia ya mtu huonekana si kwenye maneno, bali kwenye maamuzi anapokasirika, anapokuwa na pesa, au anapokuwa juu kuliko wengine
 
Back
Top Bottom