myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Hakuna mtu aliyekuwa bora kwa mara moja, amini utapata unayohitaji kwa wakati. Kila siku unapoishi ni hatua ya kusonga mbele. Kumbuka kwamba ulishazivuka siku nyingi ngumu ambazo ulifikiri hutozivuka
InawezekanaInaweza kuwa hofu, kushindwa, kupoteza, wasiwasi, kusudi nk. Usikate tamaa sababu ni ngumu au inaumiza. Baraka zingine huja baada ya jitihada ndefu za jasho na damu. Shikilia, kuna kitu kitapatikana katikati ya mapambano.
Inaweza kuwa hofu, kushindwa, kupoteza, wasiwasi, kusudi nk. Usikate tamaa sababu ni ngumu au inaumiza. Baraka zingine huja baada ya jitihada ndefu za jasho na damu. Shikilia, kuna kitu kitapatikana katikati ya mapambano.
Jinsi ya kujiheshimu mwenyewe
1. Wajibika kwa maamuzi yako mwenyewe
2. Timiza ahadi zako
3. Omba msamaha kwa dhati unapokosea.
4. Fanya kazi kwa bidii hata kama hakuna anayekuona.
5. Jizungushe na marafiki wanaopenda kukuona unakua
6. Kuwa mwema, lakini usikubali watu wakutumie
SawasawaUsiwaache wakuharibie amani kwa sababu tu wao wanaweza kuipata yao!!
IMANI + IMANI = MAFANIKIOChochote unachofanya, fanya kwa IMANI. Hata wakati njia inapokuwa haiko wazi, amini kwamba kila hatua inaongoza mahali pengine paliopo bora zaidi."
NAKUBALIChochote unachofanya, fanya kwa IMANI. Hata wakati njia inapokuwa haiko wazi, amini kwamba kila hatua inaongoza mahali pengine paliopo bora zaidi."
📌📌📌Pale unapoamka, kumbuka kuwa siku mpya ni maisha mapya. Yaliyopita hayapaswi kusahaulika, lakini kwa hakika hayapaswi kuwa kitu kinachokurudisha nyuma.'
✅️✅️✅️Pale unapoamka, kumbuka kuwa siku mpya ni maisha mapya. Yaliyopita hayapaswi kusahaulika, lakini kwa hakika hayapaswi kuwa kitu kinachokurudisha nyuma.'
SawasawaUsichoke kumuomba Mungu akulinde, kwa maana una vita na watu ambao hata wewe mwenyewe hujui umewakosea nini."
Sio kila mtu anastahili kupajua/kufika nyumbani kwako. Urafiki mwingine unapaswa kuishia kanisani, msikitini, ofisini, shuleni, sokoni au barabarani tu.

Unajua kuna hiki kitu kinaitwa "𝗛𝗨𝗭𝗨𝗡𝗜." Mara zote jambo hili huwa haliombi ruhusa ya mtu, hutokea tu bila taarifa na hukaa muda mrefu kuliko unavyotarajia. Pale unapojiona umepata nguvu, ghafla yenyewe hukujia.

Somo la Maisha: Huwezi kurudi nyuma na kubadili mwanzo, lakini unaweza kuanzia hapo ulipo na kubadili mwisho.
Maisha Kwa Kweli Ni Safari.Mwenye Mafanikio Ni Yule Anayeweza Kuongoza Milima Na Mabonde Huku Akidumisha Usawa Wake.Usikae Kwenye Yaliyopita,Usijitumbukize Katika Kujihurumia,Usirudie Makosa,Usilenge Mambo Hasi,Saidia Wengine Njiani, Sambaza Wema Popote Uendapo.

Ukimpenda Mtu Mpende Kwa Vitendo,Si Kwa Maneno Tu.Maana Moyo Huamini Kile Unachokiona,Si Unachosikia