myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Utafutaji Wa Maisha Halisi Hauji Kwa Raha Unakuja Kwa Jasho,Machozi Na Ukimya.Wengine Watakucheka,Wengine Watakuacha.Lakini Ukifika Mwisho,Wote Watashangilia.KUMBUKA:Uchungu Wa Leo Ni Msingi Wa Kesho Yako.

👍👍Utafutaji Wa Maisha Halisi Hauji Kwa Raha Unakuja Kwa Jasho,Machozi Na Ukimya.Wengine Watakucheka,Wengine Watakuacha.Lakini Ukifika Mwisho,Wote Watashangilia.KUMBUKA:Uchungu Wa Leo Ni Msingi Wa Kesho Yako.
✅️✅️Tunafanya kazi ili kuishi, sio kufa. Unapohisi unahitaji mapumziko, pumzika. Unapohisi uchovu, pumzika. Unapojisikia mgonjwa, chukua likizo ya kujiuguza. Daima jali afya yako.
Si Lazima Uwaamini Watu,Lakini Ni Lazima Ujifinze Kuishi Nao Kwa Hekima. Si Kila Anaekuchekea Anakupenda,Na Si Kila Anayekukosoa Anakuchukia.

Utapofanikiwa maishani, kamwe usiache kuwasha kibatali kwenye familia yako. Ili pale itakapotokea kibatali chako kikazima, uweze kurudisha neema kwa kukiwasha tena kibatali chako. Kuna hatari ya kubaki giza ikiwa wewe pekee ndiye mwenye kibatali katika familia yako.
✅️✅️MAISHA NI SAFARI YA BUSARA,SIO YA HISIA.