myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mambo Matano ya Kujiweka Sawa Kisaikolojia:
1. Amini hakuna aliye ‘sawa’ kila mtu anapambana.
2. Kubali hisia zako usikimbie huzuni.
3. Tenga muda wa kimya.
4. Acha kujilinganisha.
5. Fanya vitu vidogo vizuri.
SawasawaMambo Matano ya Kujiweka Sawa Kisaikolojia:
1. Amini hakuna aliye ‘sawa’ kila mtu anapambana.
2. Kubali hisia zako usikimbie huzuni.
3. Tenga muda wa kimya.
4. Acha kujilinganisha.
5. Fanya vitu vidogo vizuri.
Bila imani huwezi kuthubutu kufanya chochote cha maana hapa Duniani, na ukijaribu bila imani utaishia njiani. Imani inampa mtu nguvu na tumaini la kuendelea kukifanya kitu au kukiendea kitu.
👍👍Mambo 5 ya kukumbuka ukianza kujitafuta:
1. Siyo kila mtu anakuelewa.
2. Usiogope kuanza peke yako .
3. Tafuta waliofanikiwa.
4. Kujiamini ni silaha.5. Funga masikio
Mambo 5 ya kukumbuka ukianza kujitafuta:
1. Siyo kila mtu anakuelewa.
2. Usiogope kuanza peke yako .
3. Tafuta waliofanikiwa.
4. Kujiamini ni silaha.5. Funga masikio
Mambo 5 Kuhusu Mafanikio:
1. Hayaji haraka — yanahitaji uvumilivu.
2. Hayaji bila maumivu — kuna gharama.
3. Hayaji bila nidhamu — lazima ujipange.
4. Hayaji kwa kuigiza — jiamini na kuwa halisi.
5. Hayaji kwa kila mtu — ila yanawezekana kwako wewe!
Mambo 5 Kuhusu Mafanikio:
1. Hayaji haraka — yanahitaji uvumilivu.
2. Hayaji bila maumivu — kuna gharama.
3. Hayaji bila nidhamu — lazima ujipange.
4. Hayaji kwa kuigiza — jiamini na kuwa halisi.
5. Hayaji kwa kila mtu — ila yanawezekana kwako wewe!
📌📌Kama una roho nyepesi hutakiwi kuweka vitu vyako hadharani kwani utakutana na mengi kama hutokuwa imara utaishia kutukana tu.
Bila imani huwezi kuthubutu kufanya chochote cha maana hapa Duniani, na ukijaribu bila imani utaishia njiani. Imani inampa mtu nguvu na tumaini la kuendelea kukifanya kitu au kukiendea kitu.
LIST IKO SAWAMambo Matano Yanayochelewesha Maendeleo Yako:
1.Kuogopa maoni ya watu.
2.Kulaumu kila mtu .
3.Kuweka malengo bila mipango.
4.Kutojifunza kutoka kwa makosa.
5.Kukwepa maamuzi magumu.
SAWASAWA ✔️Mambo 5 Usiyategemee Kwa Watu:
1. Wote wakushangilie.
2. Wakuelewe kwa haraka.
3. Wakukumbuke kila mara.
4. Wakuonee huruma.
5. Wakusamehe kwa kila kosa.
👍👍Mambo 5 Yaliyofichwa Ndani Ya Kimya Cha Mtu:
1. Maumivu makubwa.
2. Hofu zisizosemeka.
3. Ndoto kubwa sana.
4. Mapambano ya kila siku.
5. Imani isiyotikisika.
Mambo 5 Yaliyofichwa Ndani Ya Kimya Cha Mtu:
1. Maumivu makubwa.
2. Hofu zisizosemeka.
3. Ndoto kubwa sana.
4. Mapambano ya kila siku.
5. Imani isiyotikisika.
📌📌Mambo 5 Kuhusu KUACHA:
1. Kuacha si kushindwa, ni kuchagua amani.
2. Acha kitu kikiumiza nafsi.
3. Si kila vita ni ya kupigana.
4. Acha kabla hujapoteza kila kitu.
5. Acha kile kisichokupeleka unapotaka.
💯💯Mambo 5 Kuhusu KUACHA:
1. Kuacha si kushindwa, ni kuchagua amani.
2. Acha kitu kikiumiza nafsi.
3. Si kila vita ni ya kupigana.
4. Acha kabla hujapoteza kila kitu.
5. Acha kile kisichokupeleka unapotaka.
SawaMambo 5 Kuhusu KUACHA:
1. Kuacha si kushindwa, ni kuchagua amani.
2. Acha kitu kikiumiza nafsi.
3. Si kila vita ni ya kupigana.
4. Acha kabla hujapoteza kila kitu.
5. Acha kile kisichokupeleka unapotaka.
Sawasawa ✔️Mambo 5 Usiyategemee Kwa Watu:
1. Wote wakushangilie.
2. Wakuelewe kwa haraka.
3. Wakukumbuke kila mara.
4. Wakuonee huruma.
5. Wakusamehe kwa kila kosa.
SawaMaisha huwa mazuri pindi wengine wasipojua kile unachofanya. Faragha ina nguvu
NALIKUBALI HILIUsiruhusu mitandao ya kijamii ikupe shinikizo (presha) ili ufanikiwe haraka kwa sababu tu ya mafanikio wanayoposti wengine