moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
✔️✔️Chelewa ukiwa na lengo bora kuliko kukimbia bila mwelekeo mafanikio si mbio ni mwendo wa uhakika na maamuzi sahihi
📌📌Mambo 5 ya ku-Acha :
1. Acha kushindana.
2. Acha kulalamika.
3. Acha kuumiza wengine.
4. Acha kuigiza maisha.
5. Acha kuishi kwa hofu ya kukosolewa.
✅️✅️✅️Kuwa mwepesi wa kuwavumilia watu pia usiwe muoga wa kuwapoteza watu pale inapobidi.
SawasawaUsikate tamaa, ila ukijikuta umekata tamaa, usiache kufanye kile ulikuwa unafanya, ikiwa unachofanya kinakupeleka kwenye hatima yako au kinamtukuza Mungu. Hiyo hali ya kukata tamaa itaisha yenyewe utakapopata matokeo mazuri.
SawaUsikate tamaa, ila ukijikuta umekata tamaa, usiache kufanye kile ulikuwa unafanya, ikiwa unachofanya kinakupeleka kwenye hatima yako au kinamtukuza Mungu. Hiyo hali ya kukata tamaa itaisha yenyewe utakapopata matokeo mazuri.
SawasawaUsikate tamaa, ila ukijikuta umekata tamaa, usiache kufanye kile ulikuwa unafanya, ikiwa unachofanya kinakupeleka kwenye hatima yako au kinamtukuza Mungu. Hiyo hali ya kukata tamaa itaisha yenyewe utakapopata matokeo mazuri.
👍👍Mambo 5 ya ku-Acha :
1. Acha kushindana.
2. Acha kulalamika.
3. Acha kuumiza wengine.
4. Acha kuigiza maisha.
5. Acha kuishi kwa hofu ya kukosolewa.
Vizuri tu..chaguo lake
Uvumilivu ni muhimu lakini usivumilie ujinga .Jifunze, boresha, kisha vumilia ukiwa na mwelekeo sahihi
💯💯Mambo 5 ya ku-Acha :
1. Acha kushindana.
2. Acha kulalamika.
3. Acha kuumiza wengine.
4. Acha kuigiza maisha.
5. Acha kuishi kwa hofu ya kukosolewa.