myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Ujumbe muhimu
Mafanikio hayaji kwa maombi pekee — yanahitaji nidhamu.Hata dua huhitaji juhudi. Simama, fanya kazi, rudia, fanya tena, kisha omba ukiwa umechoka.