myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
KUPAMBANAKupambana bila kua na uelekeo sahihi nako ni kupoteza muda tu
📌📌"Si bahati mbaya kwamba midomo, macho na masikio imewekwa mbele ya paji la uso na si kisogoni. Makusudi yake tukabiliane uso kwa uso na kumaliza tofauti zetu, na si kuviziana kisogoni. Mwenye nia na dhamira njema hukukabili usoni, mwenye dhamira ovu hukuzunguka nyuma
Kanuni ya kuishi vizuri na walimwengu ni kujikita katika kusimamia NINI NI SAHIHI badala ya NANI NI SAHIHI." ~Togolani Mavura.
SawasawaKwenye haya Maisha Unatakiwa Utumie Akili sana kuliko hata kutumia nguvu kazi yoyote yenye kutumia Akili sana inalipa zaidi kuliko inayo tumia Minguvu yako
Muhimu hiliUsimdharau Mtu anae kupenda na Usimdharau Mtu anae kusaidia japokua sio kila anae kusaidia anakupenda kuwa Makini
Ujumbe wa maana"Si bahati mbaya kwamba midomo, macho na masikio imewekwa mbele ya paji la uso na si kisogoni. Makusudi yake tukabiliane uso kwa uso na kumaliza tofauti zetu, na si kuviziana kisogoni. Mwenye nia na dhamira njema hukukabili usoni, mwenye dhamira ovu hukuzunguka nyuma
Hili nalo muhimNdege wote wana mabawa lakini si wote wanaruka, wanaoruka si wote wanapaa, hata wanaopaa si wote wanaopaa katika masafa mamoja, wako wanaoruka juu sana kama tai na wanaoruka chinichini kama chiriku. Tumeumbwa sawa lakini kwa malengo tofauti hapa duniani. Tufurahie tofauti zetu!"
👍👍👍Ndege wote wana mabawa lakini si wote wanaruka, wanaoruka si wote wanapaa, hata wanaopaa si wote wanaopaa katika masafa mamoja, wako wanaoruka juu sana kama tai na wanaoruka chinichini kama chiriku. Tumeumbwa sawa lakini kwa malengo tofauti hapa duniani. Tufurahie tofauti zetu!"
SawasawaShule ndio kiwanda cha uhakika cha kuleta mapinduzi na maendeleo na kustawisha maisha ya mtu, kaya na taifa. Ndio geti la kutokea masikini."
Shule ndio kiwanda cha uhakika cha kuleta mapinduzi na maendeleo na kustawisha maisha ya mtu, kaya na taifa. Ndio geti la kutokea masikini."
SawasawaNzi ana bidii ya kuhamisha vimelea vya ugonjwa kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Nyuki ana bidii ya kukusanya poleni kutengeneza asali. Uchaguzi ni wako kuwa Nyuki au kuwa Nzi."
SawaFanya kila unachoweza kwa nguvu zako zote, kisha muache Mungu afanye yaliyobaki.” - Ben Carson
SawaKuwa na Wasiwasi sana ukijihisi Unaanza kupoteza Mahusiano yako na Mungu sio binaadam ukajikosesha raha
Nzi ana bidii ya kuhamisha vimelea vya ugonjwa kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Nyuki ana bidii ya kukusanya poleni kutengeneza asali. Uchaguzi ni wako kuwa Nyuki au kuwa Nzi."
Kula kimyaaaa....Utotoni ulifundishwa kua sio vizuri kula chakula huku wenzio wanakuangalia na kwenye utu uzima pia ni hivyo hivyo, ukipata fursa kula kimya kimya
✔️✔️Ili kufanikiwa na kuyafikia malengo ndugu jamaa na marafiki wanapaswa kubebana ili kufika juu , ajabu undugu na urafiki wa kisasa uko kinyume chake
Ili kufanikiwa na kuyafikia malengo ndugu jamaa na marafiki wanapaswa kubebana ili kufika juu , ajabu undugu na urafiki wa kisasa uko kinyume chake
Maisha sio machoyo , hayamtupi mwenye bidii wala hayamnyimi nafasi masikini , kazi kwako tu kuitafuta njia sahihi , utie bidii na maujanja yako ni lazima utoboe tu
SawasawaUtotoni ulifundishwa kua sio vizuri kula chakula huku wenzio wanakuangalia na kwenye utu uzima pia ni hivyo hivyo, ukipata fursa kula kimya kimya
SawasawaUkifahamu kua binaadam tunatabia ya kubadilika Utachukua tahadhari na Wala hutajiachia na hutakuja umizwa kwenye Mahusiano yako