myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawasawaDaima Kuwa Tayari Kujikimu Peke Yako, Baadhi Ya Watu Hubadilika Ghafla, Leo Wewe Ni Wa Maana Kwao, Kesho Huna Thamani Kabisa Kwao, Na Huo Ndio Ukweli Wa Maisha.
Daima Kuwa Tayari Kujikimu Peke Yako, Baadhi Ya Watu Hubadilika Ghafla, Leo Wewe Ni Wa Maana Kwao, Kesho Huna Thamani Kabisa Kwao, Na Huo Ndio Ukweli Wa Maisha.
Nakubaliana na hiliUsilinganishe maisha yako na maisha ya wengine kila tunda litaiva kwa muda wake
NAKUBALIANA NA WEWEUsichokijua ni kwamba kila mtu anapitia matatizo, sema njia za kuyakabili matatizo yetu zinatofautiana
Sawasawa kabisa ✔️Usikate tamaa kwa sababu hujaona matokeo ya haraka. Mti mkubwa ulikuwa mbegu ndogo iliyovumilia giza, mvua na upepo kwa muda mrefu.
UvumilivuVumilia siku ya kupanda mbegu siyo siku ya kula matunda, endelea kuwa na subira na usikate tamaa
Kweli kabisa hiliHakuna shujaa bila maadui vilevile Hakuna mshindi bila mapambano".
✅️✅️✅️Kila kukicha hakuishi pilika pilika, yote ni kufukuzia kutimiza ndoto kwani kubadilisha ndoto kuwa hali halisi sio jambo dogo kuna mambo mengi ya kufanya na kuna vitu vingi vya kujinyima .Nawatakia maadhimisho mema ya siku ya wakulima.
SawasawaWapiganaji wa kweli hujulikana si kwa idadi ya vita walivyoshinda, bali kwa majeraha waliyovumilia
Kila kukicha hakuishi pilika pilika, yote ni kufukuzia kutimiza ndoto kwani kubadilisha ndoto kuwa hali halisi sio jambo dogo kuna mambo mengi ya kufanya na kuna vitu vingi vya kujinyima .Nawatakia maadhimisho mema ya siku ya wakulima.

👍👍Usiishi Kwa Namna Wakavyo Wao, Utakuwa Mtumwa Wa Maisha Yako.
Kila Mtu Ana Hatima Yake, Hisia, Mtazamo Na Vipaumbele Vyake.
SawasawaKuwa jasiri kutetea kile unachokiamini hata ukisimama peke yako.
SawasawaUsifanye jambo lolote bila kuwa na elimu nalo,wengi tunafeli kisa hatuna elimu ya kutosha juu ya ndoa,biashara,kazi.
Elimu sio ghali,ni utayari wako tu wa kujua mambo.
Ujinga ni mzigo na elimu sio ya darasani tu,elimu ni ujuzi/utambuzi unaopata juu ya suala fulani.
SawasawaNi heri kua na mwanzo mbaya wenye mwisho mzuri kuliko kua na mwanzo mzuri wenye mwisho mbaya.
✅️✅️Hakikisha unaishi kwa kumtegemea Mungu na maarifa yake si tu yatakufanya uwe salama Bali pia uwe na siku nyingi zenye amani za kuishi hapa duniani