KHARDUNG LA,India.
Chaneli ya National Geographic pamoja na watu wanaotoa tuzo za Guiness wamekubali hii ni moja kati ya barabara ndefu zaidi duniani! Unapopita kwenye hii barabara lazima macho yawe madirishani kuangalia mawe yanayoporomoka kabla ya kuendelea na safari.
DALTON HIGHWAY, Alaska
Inafahamika kama moja kati ya barabara zenye baridi kali zaidi na pweke duniani kwani inaweza ikapita gari moja tu kwa mwezi, kama unavyoiona baridi lake sio la kitoto, Hebu fikiria mnapita hapo harafu gari inapata hitilafu.

OSHIMA OSHASHI BRIDGE,Japan.
Barabara hii ilivyokaa kama ile michezo ya rollercoaster ambapo mnakuwa kama kwenye treni inayopita kwenye njia maalumu! Ilitengenezwa hivyo ili kuwezesha meli kupita kirahisi kwa chini

ZOJI LA,India.
Barabara hii ilitengenezwa kuunganisha mji wa Ladakh na Kashmir, Licha ya kuwa na mawemawe ni nyembamba balaa! Si hivyo tu pia kupishana pamoja na mifugo wakati unaendesha gari yako ni jambo la kawaida sana

KOLIMA, Russia.
Barabara hii inafahamika kwa jina la utani kama "Barabara Kifo" sehemu ya barabara hii ilitengenezwa na wafungwa. Ujenzi ulianza mwaka 1932, ila haukukamilika mpaka 1953. Inatisha kidogo