Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

GxumtrUXgAA7Xz4.jpg
 
WIM HOF
Huyu ana uwezo wa kukaa muda mrefu sana eneo la baridi kali sana bila kupata madhara yoyote yale. Huyu ni mtu halisi anaweza kukaa muda mrefu sana eneo la baridi kali sana. Anazo tuzo 21 za Guinness ikiwemo ya kuoga kwenye maji ya barafu kwa muda mrefu.
Huenda siyo binadamu kama sisi🙄🙄
 
Back
Top Bottom