Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ishi na watu ukitambua kua hakuna anae hitaji kua karibu na wewe ila isipokua tu Yale manufaa wanayoweza kuyapata kutoka kwako
aseeKatika nyakati ambazo kila mtu hutafuta kupendwa na kueleweka na watu wengine wenye akili wao huchagua kutokueleweka ili iwe ngumu kuwatabiri
Kuna vitu vinaumiza sana lakini unashindwa kuondokana navyo kwa sababu za kihistoria tu🙄🙄Futa kila kinachokuumiza kumbatia kile kinachokufariji