Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Fikiria vizuri katika mambo yako ya kila siku, yaani yale mambo madogo uyafanyayo kila siku; vitendo hivi ndivyo ambavyo hufafanua hobi yako, na matokeo ya maisha yako na mabadiliko yake yanatokana na vitendo hivi vidogo uvifanyavyo kila siku.