Mkumbushe Mwanao kuwa a-Date na Mtu ambae atampush kutimiza malengo yake Kwa Umri wake sio wa kushangilia kupostiwa Mitandaoni au kuwekwa Profile Picture whatsapp, Facebook na insta.

Mkumbushe Mwanao kuwa Tumeona mazuri kwa watu waliokuwa wakiitwa wabaya na Tumeona mabaya kwa watu waliokuwa wakiitwa wazuri kwahiyo Aishi na kila mtu kwa akili.

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.