myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✅️✅️Hii Dunia ina mengi sana,
Wewe zingatia tu yale yanayo kupatia Furaha na amani yako ya moyo
Ukweli huuHii Dunia ina mengi sana,
Wewe zingatia tu yale yanayo kupatia Furaha na amani yako ya moyo
Muhimu sanaMuda unabadilisha mambo mengi sana ishi kwa unyenyekevu, uvumilivu na nidhani yajayo ni fumbo
📌📌Furaha sio kumiliki kila kitu jitahidi sana uwe na Amani ya Moyo haya mengine Mungu atayaleta tu.
✔️✔️Omba Mungu akupe vitu vinne
1. Neema ya kuaminika
2. Neema ya kukubalika
3. Neema ya kupendelewa
4. Neema ya kibali
Uko sawa kabisaHii ni Dunia na siku zote dunia ni kama uwanja wa vita, kila mtu anatafuta ushindi/ mafanikio kwa njia yake iwe kwa njia halali au haramu na mara zote Dunia ipo upande wa watu wenye moyo wa kufanya maamuzi magumu ili mradi tu afanikiwe
👍👍👍Hii ni Dunia na siku zote dunia ni kama uwanja wa vita, kila mtu anatafuta ushindi/ mafanikio kwa njia yake iwe kwa njia halali au haramu na mara zote Dunia ipo upande wa watu wenye moyo wa kufanya maamuzi magumu ili mradi tu afanikiwe
Omba Mungu akupe vitu vinne
1. Neema ya kuaminika
2. Neema ya kukubalika
3. Neema ya kupendelewa
4. Neema ya kibali
UJUMBE MUHIMUFungua Stationary karibu na Chuo.
Fungua Carwash karibu na Barbershop.
Fungua mgahawa karibu na Soko.
Fungua Duka la nguo karibu na stand.
Fungua mdomo ukiwa na uhakika wa unachotaka kuongea.
✅️✅️Maisha yanatafundisha Upendo.
Muda unakufundisha nani wa kumpenda.
Nyakati za maisha zinakuonesha nani Anakupenda.
SawaUvumilivu na imani ni silaha ya mafanikio endelea kupambana kwa kila jambo na utaona matunda*
Usikilize hisia zako kwenye maamuzi ambayo yanahitaj akili
NB:- Watu hutufunza zaidi kuliko vitabu