moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
NAJIFUNZA HILIJifunze kujiweza, jiweze wewe mwenyewe
Maisha yana mambo mengi sio kila wakati utapata unayoyatarajia..
SawasawaUvumilivu na imani ni silaha ya mafanikio endelea kupambana kwa kila jambo na utaona matunda*
Usikilize hisia zako kwenye maamuzi ambayo yanahitaj akili
NB:- Watu hutufunza zaidi kuliko vitabu
Uvumilivu na imani ni silaha ya mafanikio endelea kupambana kwa kila jambo na utaona matunda*
Usikilize hisia zako kwenye maamuzi ambayo yanahitaj akili
NB:- Watu hutufunza zaidi kuliko vitabu
💯💯Jifunze Mambo Mawili,..
1.Kuwepo Mahali Unapohitajika
2.Kuondoka Mahali Usipothaminiwa.