myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
👍👍kitu Cha thamani unapaswa kuwa nacho katika ulimwengu wa sasa ukiachana na pesa na afya njema Ni amani ya moyo na akili iliyojaa utulivu
👍👍kitu Cha thamani unapaswa kuwa nacho katika ulimwengu wa sasa ukiachana na pesa na afya njema Ni amani ya moyo na akili iliyojaa utulivu
✅️✅️✅️kitu Cha thamani unapaswa kuwa nacho katika ulimwengu wa sasa ukiachana na pesa na afya njema Ni amani ya moyo na akili iliyojaa utulivu
📌📌📌Ili ufanikiwe, jiwekee malengo ya wazi, jifunze ujuzi mpya, na uwe na nidhamu ya kufanya kazi kila siku. Tafuta watu wa kukushauri na usikate tamaa wakati wa changamoto. Mafanikio yanahitaji uvumilivu na juhudi za mara kwa mara
✔️✔️Kuna baraka kwenye msamaha , Kuna mafanikio kwenye msamaha , akiondoka muache aende na usitake mabaya yamkute
KweliKuna baraka kwenye msamaha , Kuna mafanikio kwenye msamaha , akiondoka muache aende na usitake mabaya yamkute
💯Kuna baraka kwenye msamaha , Kuna mafanikio kwenye msamaha , akiondoka muache aende na usitake mabaya yamkute
Siku zote jitahidi kuishu maisha yako na jiboleshe pale inapobidi ili maisha yako yakuruhusu kuishi kwa njia unayoichagua.Lakini kamwe usibadilishe maisha yako ili kuendana na vitu visivyokuruhusu kuwa wewe au ambavyo haviendani na wewe..
Wazee wa zamani walichunguza kwa kina kabla ya kuingia kwenye ndoa; siku hizi tunachunguzana kwa kina baada ya kuingia kwenye ndoa! Yaani unakunywa kwanza maji, halafu ndio unauliza yamechemshwa?
Maisha ni mapambano, tangu kutungwa kwa mimba, kuishi duniani hadi kufariki. Matatizo lazima yatakupata, wala usihangaike kuomba Mungu akuepushe nayo, kwani ni sehemu ya maisha. Omba Mungu akufungulie milango ya kutokea, tatizo linapokupata.

Maisha ni kama safari ndefu tembea kwa mwendo wako usiige mwendo wa mtu mwingine na ukichoka njiani pumzika upate nguvu ya kuendelea, usiwakatishe tamaa wengine watakie safari njema.
Maamuzi yako yanaweza kuwafanya watu wengine wakawa na hasira juu yako, hawatakupenda, watakuwa maadui, achana nao fanya kile kinachokupa furaha kikubwa hakuna wanachokusaidia hata wakikupenda
AiseeMaisha siku zote sio rahisi kama tunavyoona na pia sio Magumu kama tunavyoomini." Umepewa Maisha usisahau kuishi