moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hakikisha unachagua marafiki bora wa kuambatana nao katika maisha yako
Maisha hayazitambui ndoto zako,yanazingatia juhudi zako!!
✅️✅️✅️Katika nyakati ambazo kila mtu hutafuta kupendwa na kueleweka na watu wengine wenye akili wao huchagua kutokueleweka ili iwe ngumu kuwatabiri
💯Hatuwezi kuyatatua matatizo yetu kwa kujidanganya kuwa hayapo,
Ni umasikini wako tu ndio unaokufanya uwe mnyenyekevu mbele ya watu wenye pesa na vyeo
Ni umasikini wako tu ndio unaokufanya uwe mnyenyekevu mbele ya watu wenye pesa na vyeo
Uvumilivu ndio nguo ya wapambanaji, usije ukaivua hata kama kuna joto kali
✅️✅️✅️Katika nyakati ambazo kila mtu hutafuta kupendwa na kueleweka na watu wengine wenye akili wao huchagua kutokueleweka ili iwe ngumu kuwatabiri
Hatuwezi kuyatatua matatizo yetu kwa kujidanganya kuwa hayapo,
Tafuta nafasi onyesha ulichonacho, kipe thamani na hapo utaona watu wanatoa pesa mifukoni mwao wanakulipa
Wakati mwingine chaguo sahihi ni lile linalofanya kazi kwako , lile lisilofanya kazi sio sahihi kwako unaachana nalo hata Kama ni sahihi kwa wengine
✔️✔️✔️Wakati mwingine chaguo sahihi ni lile linalofanya kazi kwako , lile lisilofanya kazi sio sahihi kwako unaachana nalo hata Kama ni sahihi kwa wengine
Ni heri kua na mwanzo mgumu / mbaya ili uwe na mwisho mwema kuliko kujidanganya na mwanzo mzuri kumbe mwisho wake mbaya