Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ukweli mchungu kuhusu maisha ambao watu wengi hatupendi kuukubali.
1. Usitarajie kupokea kile unachotoa si kila mtu ana moyo mwema.
2. Utawachukiza na utapoteza marafiki wengi pindi unapoanza kuwa focus na malengo ya maisha yako
3 . Unawajibika kwa maisha yako mwenyewe