Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuwapa nafasi wengi waujue udhaifu wako ni sawa na kumfungulia adui ghala lako la silaha maana udhaifu wako ndio utatumika kukuthibiti na kukutumikisha
 
Wameniuliza Facebook "unafikiria nini"
Ninalofikiria Mimi ni ili mfumo WA ajira ubadilike!!
Watumishi WA umma!!!
Iko hivi walio kwenye ajira mwisho WA utumishi WA umma iwe ukifikisha miaka 25 kazini ( miaka ya kufanya KAZI) wakutoe uanze maisha mengine nje ya ajira! Upewe chako kamili ,uende uanze maisha mengine ili fursa za ajira zipatikane Kwa watu wengine!! Kwa nini nasema hivi wastaafu wengi wakifikisha 60 na kupewa chao wengi imekuwa ni mlango WA kufa, Ajali na majanga mengi!! Aidha kutokana na kutojua biashara na uwezo WA kumiliki pesa nyingi Kwa wakati mmoja!!

Ubunge na Diwani na nyadhifa mbalimbali za kuchaguliwa na wananchi iwe NI vipindi viwili Tu yaani miaka Kumi Tu kama ilivyo Kwa Rais.

Mifumo ya pension isibughudhiwe kabisa ,IKEA stable!!!
PSSSF na mifuko mingine ya jamii ,anzeni kutoa FAO la uzazi Kwa wanaume!! Maana kila mmoja ana changa kivyake, kama Mme NI mtumishi apate na mke NI mtumishi apate maana wote Wana haki ya mtoto aliyezaliwa.

Leo naishia hapa....
Tukutane baadae...
#PSSSF
#tamisemi
#jamiiforum
#serikalikuu
#bungetz
#NSSF
 
Back
Top Bottom